USAJILI WA ASASI ZINAZOJIHUSISHA NA UWEZESHAJI WA VIJANA TANZANIA
Asasi za Kiraia za Uwezeshaji wa Vijana nchini Tanzania, zina mchango mkubwa katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Kwa kuwekeza katika maeneo muhimu kama elimu, mafunzo ya ujuzi, na ushiriki wa vijana katika nyanja mbalimbali za kijamii na kiuchumi, Nchi inaweza kufikia maendeleo endelevu kwa kutumia uwezo na nguvu ya Vijana.https://edodoso.gov.go.tz/index.php/261828?lang=en
- Written by Leonila Focus
- Created Date Jul 16, 2024